MISTARI YA WIMBO HUU

Sirudi te
Tena na tena na tena na tena
Tena na tena na tena na tena
Sirudi te

Na logout hii syllabus
Bora peke yangu zaidi ya yule mamu Abas
Wapi safe place progress
Mitikasi no stress
Confidence money, power heavy influence
Mi sirudi tena, nikirudi ni accident
Exchange rafiki job ni evidence
Kwangu holiday niko na ghafi na boogy dance
Nipo kwa away place na ndugu wengine sense
Mi sirudi
Nikikumbuka nilikuwa benchi kwenye mechi
Nani na mechi kilaka sio pancha mpaka Mapeche
Flow out of flow naziwekea ma-dress
Niko interested zaidi ya ku-copy tu na ku-paste
Na bado pia ikawa ngumu ku-understand me
And by the way ah, hili game liko under me
Mi sirudi tena nifuate maybe ndo reality
Ni mipango tu mki-stand kama boss usije uka-panic

Sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
Kwenye dhiki mi sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
Kwenye dhiki mi sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)

Hii ni rap mathematical high pitch
Rapper Tino ka Hermy B collabo ni high beat
Sirudi tena na bullshit kule haiko fit
Jamaa wako love, mi nabaki huku haiko dhiki
Mi sirudi tena super duper, bite beat
Hakuna creativity ni bubble gum, you haiko deep
You heard? Siri imefichuka tena haiko zipped
Mi sirudi tena I know najua nta-feel guilty
‘Cause dah, I saw jamaa wako na jealous
Kama ikibidi nirudi no sipendi haterz
Against enemy, no retreat ndo mitindo
Na kwenye forest mbinu sumu ya ulimi ndo fimbo
Sirudi ukipenda follow my lead, tell us
Si hivyo huwa unajua ntarudi no
Huku niko ndiko Mungu amenijalia afadhali
Sirudi tena my boys mi mshale

Sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
Kwenye dhiki mi sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
Kwenye dhiki mi sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)

Sirudi tena pale kwa jana sio
Ishara ndo inanifanya niogope nitoke mbio
Nitacheka nikiondoka nikirudi kilio
Mi nahepa mbio sirudi, why? Tega sikio
Mi nakereka na mabaya tukio
Magharibi naona mashariki mi ndo kimbilio
Sirudi tena moyo una mashaka ’cause
Wa karibu yangu jamaa hata my big brother
Ah! Afadhali nikijifariji
Mi nasonga kando kuepuka magaidi
No future mtu ila Mungu ndo shahidi
Walificha nikachunguza vema ka CID
Bado nahitaji kwenda mbele mi si-reverse
Kilichofichwa kimefichuka siri basi
Sirudi tena pale mbele naongeza kasi
Mi siko normal ulishaniumiza sana, ilewe somo

Sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
Kwenye dhiki mi sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
Kwenye dhiki mi sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)
Sirudi te
(Tena na tena na tena na tena)

Sirudi tena, kwenye masimango
Sitaki tena, kuumia moyo
I wanna be, I wanna be
I wanna be, I wanna be
(Tena na tena na tena na tena)
(Tena na tena na tena na tena)
Kwenye dhiki mi sirudi te
I wanna be
(Tena na tena na tena na tena)
(Tena na tena na tena na tena)
I wanna be
(Tena na tena na tena na tena)
(Tena na tena na tena na tena)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI