MISTARI YA WIMBO HUU

Emma The Boy (Boy)
Sama

Sisikii
Kwa penzi lako sioni
Oh baby please
Love me like you do

Nimegandana na wewe
Mpaka mwisho mi nipo na wewe
Sitoshikwa na kiwewe
Eti nikuache wewe
Nimegandana na wewe
Mpaka mwisho mi nipo na wewe
Sitoshikwa na kiwewe
Eti nikuache wewe

Sisikii
Kwa penzi lako sioni
Oh baby please
Love me like you do

Nipe mapenzi
Yale yatokayo moyoni
Kwengine siendi
In your world is where I belong
Nipe mapenzi
Yale yatokayo moyoni
Kwengine siendi
In your world is where I belong

I am
So into you
I am
Penzi penzi la
I am
So into you
I am
Roho yangu baby
I am
Just me and you
I am
Sina mwengine mwenzio
I am
So into you
I am

Sisikii
Nimekuweka moyoni
What I feel
Mapenzi ya kweli
Oh ooh

Nami sitokuacha wewe
Usiwe na wasi sitokuacha mwenyewe
Nimefika kwako wewe
Hilo mpenzi nielewe

Sisikii
Nimekuweka moyoni
What I feel
Mapenzi ya kweli
Oh ooh

Nipe mapenzi
Yale yatokayo moyoni
Kwengine siendi
In your world is where I belong
Nipe mapenzi
Yale yatokayo moyoni
Kwengine siendi
In your world is where I belong

I am
So into you
I am
Penzi penzi la
I am
So into you
I am
Roho yangu baby
I am
Just me and you
I am
Sina mwengine mwenzio
I am
So into you
I am

(Nikupende)
I am
I am
I am
I am
(Nikupende)
I am
I am
I am
I am
(Nikupende)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU