MISTARI YA WIMBO HUU

Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara
Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala
Aaah bwana eh usinifate bwana
We si ukalale uwape mbu faida bwana
Hivi aliyekwambia uzime taa humu ndani nani
Kila ukija nyumbani we unaondoka
Kila ukija nyumbani we unaondoka
Nimetokea upande wa pili nimeenda kwa kina Bashiri
Na usije kwetu hakuna kitenge wala kanga
Shauri ukija wazazi wangu watakuona mwanga
Nakumbuka ile siku ambayo umenisemelea kwa dingi
Ukadai ya kwamba me uwa nachanganya mitungi
Na kwenye kula ganja kila siku sijivungi
Ukaondoka na cheko nyuma ukaacha kivumbi
Aya sasa unaona mwenzio umeniachia zogo
Mjeruhiwa simba chui mjeruhiwa mbogo
Umesababisha hata majirani wananitupia kisogo
Tena usinibishie ntakupa kidochi chi chi
Tatizo limenisumbua me sitaki unung’unike
Wakati inapita wiki me jombi hasinshike
Na usinilete zile zako za kike kike
Na kuanzia muda huu me naudhu usinshike
Afadhali demu mwenyewe ungekuwa unafunga domo
Hapo ningejipa moyo unalijua somo
Tena angalia sana usinizuge na shikamoo
Aya sasa nimeghairi nenda kwa huyo huyo J Mo

Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai (fai)
Hivi sasa me najuta
Sitaki demu sihitaji demu
Borani nitafute mchumba
Sitaki demu sihitaji demu

Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai (fai)
Hivi sasa me najuta
Staki demu sihitaji demu
Borani nitafute mchumba
Staki demu sihitaji demu

Ukimchekea nyani shambani atakusumbua
Utavuna mabua na usiombee wenzio kujua watakucheka
Kipi kimegusa we kisusa uliyesuswa
Mpaka ukawambia wenzio unanirusha (unanirusha)
Ukome kunzushia tena
Mkongwe naitwa Kibla mwenye money hachunwi
Ili mradi nshapima nmeonekana sina ngoma
Msichana gani mhuni kila siku unaongwa laki
Sitaki demu ebu uko
Huyu demu mtoto wa Mzee Mwalubadu
Yule mzee mvuvi anayeongoza kwa kuvua ngadu
We mtu gani muhuni wanakujua njia zote

Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai (fai)
Hivi sasa me najuta
Sitaki demu sihitaji demu
Borani nitafute mchumba
Sitaki demu sihitaji demu

Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai (hafai)
Mimi nikawabishia nikaona wao ndio hawafai (fai)
Hivi sasa me najuta
Sitaki demu sihitaji demu
Borani nitafute mchumba
Sitaki demu sihitaji demu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI