MISTARI YA WIMBO HUU

Umechagua adhabu ya kujiua
Iweje sumu umeze maziwa
Si ndo ndoto Linah acha unajua
Kwa huu wimbo nakupa ukweli
Umependa mwenyewe kuwa njiwa
Wivu wa nini kwa ng’ombe anayekamuliwa
Ukawaridhisha wazazi kwa kuolewa
Ukaniacha mwenye upendo wa ukweli

Najua sio kosa lako, najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, ila kwanini unikosee
Najua sio kosa lako, najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, ila kwanini unikosee

Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Namimi sitaki kumuumiza mwenzangu

Mmhh aaaa
Mmmh mh

Kama kuvaa na kung’aa mamaa (mamaa)
Kwa binadamu ni sawa
Na kama ukinipa salamu wala sitoikataa
Usinigande, usinigande kama ruba
Wazazi wako uliwaona wako sawa
Sitaki kumuumiza huyu mwenzangu
Sitaki uumize moyo wangu
Ni Sajna yule yule na moyo ule ule
Ni mimi yule yule, ulomtupa jongoo na mti wake
Ni Sajna yule yule na moyo uleule
Ni mimi yule yule, ulomtupa jongoo na mti wake

Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Namimi sitaki kumuumiza mwenzangu

Mmhhh
Najua sistahili kufutwa machozi
Japo sikuyasababisha mwenyewe
Najua ustahili kuendelea kutoa machozi
Japo nauumia kuona tayari una mwingine
kwa miguu yangu sikuondokaa
Nilisukumwa wakafanya nipotee
Moyo wangu bado unaishi kwakoo
Huku ugenini uko mwili pekee
Naumiaaa, naumiaaa, naumiaaaa

Najua sio kosa lako, najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, ila kwanini unikosee
Najua sio kosa lako, najua ni wazazi wako
Najua mi chaguo lako, ila kwanini unikosee

Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Na mimi sitaki kumuumiza mwenzangu
Sitaki tena kuumizwa
Namimi sitaki kumuumiza mwenzangu

Ohh jeme oh oh
Sajna na Linaah
Tetemeesha, teeena
Mmmhh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI