MISTARI YA WIMBO HUU

Pappination
Eiyee purure parara
Purure parara
Eiyee purure parara
Purure parara

Labda baby hujui, ni maamuzi kiasi gani
Labda we hutambui, imeniuma namna gani
Kisa pesa hakuna, penzi hakuna, unyumba hakuna, why?
Kisa pesa hakuna, amani hakuna, heshima hakuna

Aaa aa iyaah
Basi nenda uchezewe
Aaa aa iyaah
Unachotaka upewe
Aaa aa iyaah
Nachokuomba uelewe
Aaa aa iyaah
Nitabaki mwenyewe
Ila ujue someday utanipa heshima
Nasema someday utaniita jina
Nasema someday utanipa heshima
Nasema someday utaniita jina

Eeh labda mi sijui unachotaka kitu gani
Labda we hujijui una tabia za shetani
Kisa umeme hakuna, maji hakuna, mapenzi hakuna, why?
Tena najituma, narudi nyuma, inaniuma

Aaa aa iyaah
Basi nenda uchezewe
Aaa aa iyaah
Unachotaka upewe
Aaa aa iyaah
Nachokuomba uelewe
Aaa aa iyaah
Nitabaki mwenyewe
Ila ujue someday utanipa heshima
Nasema someday utaniita jina
Nasema someday utanipa heshima
Nasema someday utaniita jina

Babylon Bizzy!
Someday yeah
Someday yees
Ah
Utakumbuka kila kitu nilichofanya
Nakumbuka uongo wako kunidanganya
Kwamba uko home, kumbe uko zako Dom
Nakucheki kwenye fone, unakata unazima
Ulinitesa mtu mzima
Bila pesa mapenzi ukaninyima
Huna heshima, unaringa umepima?
Utakumbuka kila kitu, utanikumbuka kila siku
Mchana usiku, nakutema bila bifu
Nakumenya bila kisu
Najua someday utakumbuka jina langu
Ipo one day ya kukumbuka sura yangu
Utakumbuka shuka pameshakucha
Na pakisha kucha ndo utajuta
Utakumbuka zile bata tuko wote
Ishakuwa kama ndoto ziote
Hatuwezi tena maa kuwa wote
Wacha penzi lote lipotee

Ipo siku utajuta, nasema

Someday utanipa heshima
Nasema someday utaniita jina
Nasema someday utanipa heshima
Nasema someday utaniita jina

Someday, someday
Someday, someday
Someday, someday
Someday
someday

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI