MISTARI YA WIMBO HUU

Kabla ya kulishwa nabebwa naenda koga nae
Anisahaulisha nisilete mwenza hapo baadae
Nimehalarisha naomba mola nzikwe nae
Anisahaulisha nisilete mwenza hapo baadae
Kitanda ndicho nachoshindia haaah
Tukilala unikumbatiaa aaaah
Ametulia aaah
Anajiliaa aah
Vinunu vya mumewe
Anakulia eeh
Ananukiaa eeh
Mnunu na rangi eeh
Aeeh eeh

Somo yake oyeee oyee oyee
Somo wote oyeee
Somo yake oyee oyee oyee
Mwari wangu oyee
Somo yake oyee oyee oyee
Somo wote oyeee
Somo wote oyee oyee oyee
Mwari wetu oyeee

Mwari fundi akizungusha mashallah
Mpishi hodari hajui kuunguza mashallah
Mwari fundi akizungusha mashallah
Mpishi hodari hajui kuunguza mashallah
Wacha nijisifu somoye
Somo wote oyee
Mwari wangu oyee
Wacha nimsifu mumeo
Kukupata wewe
Hatojutia milele eeh
Kafundwa kafundika piaa aah
Niliompa kayashikilia aaah
Mchukue mchukueni kumlea mkishindwa
Mrudisheni kwa somoye nanyi ya khanga
Mchukue mchukueni aaah aiyaya kumlea mkishindwa aah
Msugue msugueni kumsema mkichoka mpigeni
Kwa upande tu wa khanga

Somo yake oyeee oyee oyee
Mwari wangu oyee
Somo yake oyee oyee oyee
Somo wote oyeeee
Somo yake oyee oyee oyee
Somo wote oyeee

Anisemesha kauli tamu hana hilaaa hana hila
Leo nimekosa kesho mtamu we walaaah
Anisemesha kauli tamu hana hilaaa
Leo nimekosa kesho mtamu we walaaah
Somo wa huyo mwari yupo wapi nikutunze
Somo we mwari uje kati tulisakate goma
Nipo hapa nipo hapa somo yake
Kibwebwe najifunga tulisakate
Nipo hapa nipo hapa somo yake
Kibwebwe najifunga tulisakate Gomaaa

Tanga na Kigoma Mombasa mojaaaa

Somo na mwali kagarauke
Somo na mwali kagarauke nenda nae
Rudi nae mwali wangu kagarauke
Somo na mwali kagarauke
Somo na mwali kagarauke nenda nae
Rudi nae mwali wangu kagarauke
Somo na mwali kagarauke
Somo na mwali kagarauke nenda nae
Rudi nae mwali wangu kagarauke
Somo na mwali kagarauke
Somo na mwali kagarauke nenda nae
Rudi nae mwali wangu kagarauke

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU