MISTARI YA WIMBO HUU

Mswaki

Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi
Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi
Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi

Sophia Sophia
Nikupeleke Mpunguzi ah
Sophia Sophia
Nikupeleke na Mvumi ah
Sophia Sophia
Nikupeleke na Mazengo oh
Sophia Sophia
Nikupeleke Mkuungu

Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi
Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi
Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi

Sophi wangu
Mi nilizaliwa Tanzania kanda ya kati
Makao makuu
Twende pamoja tukauone uzuri wa nchi
Ndugu zangu wa Makole
Wakarimu wapole
Wanataka wakuone
Kabla ya kurudi Dar
Wakupatie karanga
Zabibu na uhemba
Lazima uwakumbuke
Ukifika Dar

Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi
Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi
Nakuzimia
Vibaya vibaya
Vibaya vibaya mi

Sophia Sophia
Ah ah ah aa
Sophia Sophia
Ah ah ah aa
Sophia Sophia
Ah ah ah aa
Sophia Sophia
Ah ah ah aa
Sophia Sophia
Ah ah ah aa
Sophia Sophia
Ah ah ah aa

Twende Dodoma (yele yele yele yele yeeh)
Twende Dodoma
Twende Dodoma (yele yele yele yele yeeh)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU