MISTARI YA WIMBO HUU

Nakumbuka chali mmoja akinikatia
My dear you know that you are my number one
Sikujua kulikuwa na number two
Number three and number four
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)
Siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu
Baba watoto sita
Lakini game yake haijakatika no
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)
Juzi nilikuona kilabu Nairobi na ndogondogo
Miaka yake ishirini eh
Tabia ni zile zile

Still a liar
You’re just a little older
Miaka sio shida (still a liar)
Sugar daddy liar (stilla liar)
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)

Mwanamme hutulii nyumbani kwako usome gazeti
Ule chakula cha mkewe au
Ukakae na wazee wenzako woh
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)
Vunja mifupa kama meno bado iko
Ooh lakini kufukuzana na watoto ehh
Wacheni aibu ndogo ndogo ooh
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)
Mpaka achoke mpaka aseme game shoti
My sister usijienjoy eeh
Tabia ni zilezile

Still a liar
You’re just a little older
Miaka sio shida (still a liar)
Sugar daddy liar (stilla liar)
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)

Eh eh
Ukipata anayekupenda
(Shikilia shikilia)
Mwenye tabia za kupendeza
(Shikilia shikilia)
Mwenye heshima ya watu wote eeh
My dear usiwachilie eeh

Eh eh
Ukipata anayekupenda
(Shikilia shikilia)
Mwenye tabia za kupendeza
(Shikilia shikilia)
Mwenye heshima ya watu wote eeh
My dear usiwachilie eeh
Na mikono yote (shikilia)
Usiwachilie (shikilia)
Usiteleze (shikilia)
Shikilia wewe (shikilia)
Na mikono yote (shikilia)
Usiachilie (shikilia)
Usiteleze
Dada shikilia wewe (shikilia)

Still a liar
You’re just a little older
Miaka sio shida (still a liar)
Sugar daddy liar (stilla liar)
(Dunia ina mambo
Dunia ina mambo)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI