MISTARI YA WIMBO HUU

Another one for the ladies
Sauti Sol
Yeah
Yeah baby
Touch me baby

Tulipokuwa prymo
Ulisema umeninoki
Nikakuseti kwa odijo
Tukaingia seco
Adole zikanipanda
Nikakubusu kwenye bus stop
Yeah
Tukaingia campo
Nikasema nakupenda
Ukasema unasoma ah

Na bado nakuona daily
Looking fly nakufeel even more uuh
I wonder what I’m gonna do if you ever walk out the door

Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Love is a strong thing (strong thing strong thing)
My love is a strong thing (strong thing strong thing)

Tukamaliza campo
Nikaanza kuimba
Ukapata kajobo
Downtown
Tukapatana tao
You were looking very sexy
Tukawasha kamoto
Ukawa tipsy kidogo
Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha
Tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema
Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha
Tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema

Na bado nakuona daily
Looking fly nakufeel even more uuh
I wonder what I’m gonna do if you ever walk out the door

Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Love is a strong thing (strong thing strong thing)
My love is a strong thing (strong thing strong thing)

Nikaimba lazizi (lazizi wangu we)
Nikaimbia polisi
Na nikaimba soma soma soma
Uuh yeah na nikasema popote ulipo
Mi nakuwaza mama
I’m aI’m aI’m a gentleman
I’m aI’m aI’m a gentleman

Na bado nakuona daily
Looking fly nakufeel even more uuh

Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni yule yule
Bado nakufeel baby vile vile

Ulopa ngoma
Pa pa pa pa pa yeah

Na sasa uko fifty
Bado unakaa fiti
Yeah you can get it

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI