MISTARI YA WIMBO HUU

Ayai yai yai yai yaiyah
Mombasa baby
Bailah
Tanga ya tajiri
Aah B Daddy

Wasikitika usijevunja shingo yo mama
Na huko kusononeka usijeita mapaka leo
Wakaja kukuparura ukapoteza uzuri wako
Na ukija ukiolewa usipendeze kwa mume wako woh (ayai yai yai yai yaiyah)

Naujichunge saana maana utajichakaza
Na ule punje ujana maana utakujakaza
Subira subira yako maiyo
Iko mikononi mwake Mola Baba
Subiri subira yako mamido
Ije mikononi mwako mafungu saba

Anayetoa ni mola wa pekee yeye
Kwa kila goti na dua anajibu yeye
Usije itaka harusi kwa pupa
Usije itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usije itaka harusi kwa pupa
Usije itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo

Kuwa na subira usiwe na pupa
Mola amekuumba na sifa kedekede
Ukimuomba yeye atakusikia
Jiamini mama usiwe na mapepe
Ale maa mapepe, maa maa mapepe
Tuliza mapepe, maa maa mapepe

Ya nini tumbure angali mume majaliwa
Kwanini ujichoreshe na mali yako yaliwa
Utabeba vibovu upewe maradhi kukimbilia mapenzi
Uje upate tabu ukwaye mavazi uyachukie mapenzi

Anayetoa ni mola wa pekee yeye
Kwa kila goti na dua anajibu yeye
Usije itaka harusi kwa pupa
Usije itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usije itaka harusi kwa pupa
Usije itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo

Aah B Daddy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI