MISTARI YA WIMBO HUU

Wewe nyambole mimi nyansumi
Matatizo yetu hayafanani
Wewe nyambole mimi nyansumi
Matatizo yetu hayafanani
Kama una shida unamwambia nani
Watu wanacheza mambo hadharani
Kama una shida unamwambia nani
Hata mi za kwangu nimeacha nyumbani

Hatufanani hatulingani
Hatufanani hatulingani
Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Wote jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Tufanane

Usiohofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usiohofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usiohofu hasara hasara
Hakuna kulala

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)

Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)
Na kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)

Sina gari na nyumba
Ila wema n’nao
Sina gari na nyumba
Ila wema n’nao
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi Mbezi)
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi Mbezi)

Hii ni serikali ya kiswazi bibi
Tunakaba jiko na tunakaba choo
Hakuliki wala hakuendeki
Wao wana dollar mh
Si tuna visenti
Inakuhusu
Usije ukang’oka meno sababu ya uchu

Kwanini usipende kwanini usiende
Kwanini usicheze
Kwanini usipende kwanini usiende
Kwanini usicheze
Wengine chakala chakala
Mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Chakala chakala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Kibanda kibanda

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)

Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)
Na kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote

Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga
Sugua gaga sugua gaga

Usiohofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usiohofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usiohofu hasara hasara
Hakuna kulala

Shikoo hehehhe
Bora kuwa na pengo
Kuliko kuwa na jino bovu
Alama ya muhuni si kovu
Ni hayo tu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI