MISTARI YA WIMBO HUU

Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea
Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea
Sumu ya teja
Ukonga Keko Segerea
Sumu ya teja
Ukonga Keko Segerea
Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea
Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea

Machizi eeh
Mwenzenu naozea Segerea
Machizi eeh
Mwenzenu naozea Segerea
Askari alinikamata na bangi mbili mkononi eh
Mastono wamenirukia na kuberi mdomoni eh
Askari alinikamata na kete mbili mfukoni eh
Mastono wamenirukia najidunga mkononi eh
Afande nilimwambia
Nilimwambia
We afande usinipeleke n’takupa buku soo tano
We afande usinifikishe n’takupa buku shi’ng saba

Afande kagoma afande kagoma
Afande kagoma afande kagoma

Kesho mahakamani kidhibiti ubaoni eh
Kesho mahakamani kidhibiti ubaoni eh
Machizi eh
Sasa nifanyeje mie
Masela eh
Sasa nifanyeje mie
Masela wakan’ambia
Wakan’ambia
Masela wangu wakan’ambia
Wakan’ambia
Kubali kesi ukale msima
Mwana wa Mbonde kaenda karudi mnene
Kubali kesi ukale ugali we
Mtoto wa Mbonde kaenda karudi mnene
Utakula bure utalala bure
Virago bure sakafu bure
Vipele bure ukurutu bure
Ukuta upo utashika bure

Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea
Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea
Sumu ya teja
Ukonga Keko Segerea
Sumu ya teja
Ukonga Keko Segerea
Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea
Sumu ya teja
Sumu ya teja Segerea

Askari alinikamata na bangi mbili mkononi eh
Mastono wamenirukia na Kuber mdomoni eh
Askari alinikamata na kete mbili mkononi eh
Mastono wamenirukia najidunga mkononi eh
Afande nilimwambia
Nilimwambia
We afande usinipeleke n’takupa buku soo tano
Afande usinifikishe n’takupa buku shi’ng saba

Afande kagoma afande kagoma

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI