MISTARI YA WIMBO HUU

We Ruby karibu mkubwa na wanawe
We Ruby karibu mkubwa na wanawe
We Ruby karibu mkubwa na wanawe
We Ruby karibu mkubwa na wanawe

Nachojua undugu ni ule wa damu kuzaliwa tumbo moja
We na mimi hatunaga uharamu basi punguza uoga
Nitakupa mapenzi matam tam napendaga namba moja
Pilipili yawasha lakini tamu tunapozaga na soda

Nitamshawishi mama ampende sana baba ako
Tutakuchezea chezea mdogo mdogo utazoea

Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Kupiga selfie selfie kila siku hazina maana
Nitadondosha simu makusudi tuonekane hatuna maana
Turubai nitandikie na msham usimamie
We mtoto wa baba eh eh eh
Turubai nitandikie na msham usimamie
We mtoto wa baba eh eh eh

Undugu kaunganisha baba kwa mama enu nyie
Mnapaswa mniite dada na mniheshimu mie
Undugu kaunganisha baba kwa mama enu nyie
Mnapaswa mniite dada na mniheshimu nyie
Kweli baba anaishi kwa mama yenu
Naomba sana mama yenu mniheshimu

Hili zizi la kondoo dume we ni epo lazima uchumwe
Acha niombe kwa Mungu kidume aje yeye

Suu ntamwambia baba eh ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua
Suu ntamwambia baba eh ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua sana

Ruby mama kanambia nioe
(Nioe nioe)
Ila mimi nataka nikuoe wewe Ruby
Ai Ruby! Basi punguzaga kiwewe
Niruhusu Ruby na mimi nikuite baby
(Hapana!)
Funika kombe mwanaharamu apite apite
Mimi kwako wewe nitakifanya chochote (chochote)
Ruby si dada yangu kusema tumetoka wote
(Kwa mama yangu)
Ukinipenda hakitokei chochote

Pamparuma mlango wa chuma
Ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu
Ya nini kuweka usiku?
Pamparuma mlango wa chuma
Ukiufungua hauna huruma
Mama anataka mjukuu
Ya nini kuweka usiku?

Wouwouwou wo
(Iyo mama)
Yoiyoiyoi iyo
(Iyo mama)
Mamee eh eh
Kwanza moja nikwambie
We unaendana na mie
Wengine we wakunjie
Ni mimi tu niwe na wewe
Nataka kukufurahisha baby
Komando nitalinda kidonda nzi wasije fonza
Nitaumia nio iyoiyoyo

Usiku viwaga vinanitoka (ndio)
Ni siri ya bomba limefunguka (nini mwenzio)
Nahisi waniita (aah)
Mwenzio pakacha limefunguka

Hili zizi la kondoo dume we ni epo lazima uchumwe
Acha niombe kwa Mungu kidume aje yeye

Suu ntamwambia baba eh ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua
Suu ntamwambia baba eh ntamwambia baba eh
Ntamwambia baba mnanisumbua sana

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI