MISTARI YA WIMBO HUU

Lufa lufa
Sweet sweet
Sweet sweet
Sweet sweet
Sweet sweet

I am your sweet sweet Mangi
I am your sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your sweet sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi

I say hi Sweet Mangi am the guy
Hi ni kwa lady demu ambaye
Kwenye yake bio am the bae
Ana rangi ya mtume from Dubai
Dah da dadai bill nyingi nalipa
Ili njaa isije katili
Msingi uwe kamili
Vocha juma tano elfu moja mia tano
Jiunge bando la chuo mpaka tena Jumatano
Sina takataka katapila kata kila
Demu anayenitaka kwa tequilla shot
Ila wanasema kila demu anataka
Kila mwanaume amkatie pochi
Sitakupa Indian hair
Nitakupa mtaji wa kuwauzia Brazillian hair
Sitakupa Brazillian hair
Nitakupa mtaji wa kuwauzia Peruvian hair

I am your sweet sweet Mangi
I am your sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your sweet sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi

Na siyo nikufanye tu
Nataka nikufanye mwanamke mjasiliamali
Kisha uje kuwa mwanamke mjasiri na mali
Napotoka A City ni mbali
Mimi napanda milima mabonde misitu King
Vitu vilaini and my thing
Ukirusha maswali na majibu hamsini
Ila sina jibu kwa maswali malaini
Ni baba lake kwenye flow laini
Na mama lake tunakunywa wine
Ushanipata usijiulize why me
Sweet Manka mimi nadeka mi
Na kutoka na kuhit ni mzunguruko tu
Wachunge vifaranga na kunguru huko juu
Ingawa tupo peace wa kudhuru yupo tu
Tufunge na kusali kufuturu kupo tu
Sitakupa Indian hair
Nitakupa mtaji wa kuwauzia Brazillian hair
Sitakupa Brazillian hair
Nitakupa mtaji wa kuwauzia Peruvian hair

I am your sweet sweet Mangi
I am your sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your sweet sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
I am your Sweet Mangi
Sweet Mangi

Sitakupa Indian hair
Nitakupa mtaji wa kuwauzia Brazillian hair
Sitakupa Brazillian hair
Nitakupa mtaji wa kuwauzia Peruvian hair
Baba lake kwenye flow laini
Baba lake kwenye flow laini
Baba lake kwenye flow laini
Baba lake kwenye flow laini

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI