MISTARI YA WIMBO HUU

She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika
She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika

Ndo maana nabadilisha midundo
Kuweka juu midundo
Habari zimeenea eti kwamba una ungo
Kwisha nimeshakuvunja wanadanganyana skani
Wamepagawa na maungo sasa wanaomba mtungo
Tupo ghetto tunatisha tena tulizeni penta
Kati niko Nesta muulizeni Nature
Mchezo ulishakwisha na hii ni adventure
Mandezi wamekalishwa aah
Maex u-super eighteen sasa super sixteen
She’s hot namba moko kwenye kila team
Siku zote ni mtamu hujawahi kuisha ile cream
Ni adimu sweet sixteen amehitimu
Wa moto kama Sudan ama Dar es Salaam
My sweet sixteen tumeshapima damu
Akidabuka asubuhi analilia vitamu tamu
Sweet sixteen she’s already home

She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika
She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika

Nakajaza kwa punch mimba ni hit song
Kabinti hakana ujanja kwa mistari yangu
Tuseme ni juu ya beat ulandana na vocal zangu
Upendo umejidhihirisha majibu ya maisha yangu
Na anafika penyewe akiwa na mimi peke yangu
Kitu changu kizuri kweli mtupu desturi
Miaka mingi ka Zaburi inshaallah
Hata bandu bandu kiasi gani
Huwezi maliza hili gogo
Huwezi pata kama mimi katafute kwa Google oh oh
Swaggnificent si ndo Wara Wara
A City finest the Kankara
Mlango uko wazi ngoma ya watoto haikeshi sweet heart
Nakumbuka ulivyonisifu hujaonaga mkali
Na mi si mkare mi boy ni hatare

She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika
She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika
She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika
She’s already home
My sweet sixteen
Nipo nae sasa huu mwaka wa 16
Patashika ilowafika ni wengi kumshika

My sweet sixteen
My sweet sixteen
My sweet sixteen (my sweet sixteen)
My sweet sixteen
My sweet sixteen
My sweet sixteen

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI