MISTARI YA WIMBO HUU

Tete – Aslay na Osama

Me siwezi kula mpaka ale yeye
Tena nimlishe kwa kijiko
Nyimbo nimuimbie
Kama kuna joto nimpepee
Nimpepee
Kisha nimbembeleze
Nimliwaze
Na kama kuna kosa baby
Anieleze
Nimbembeleze
Nimliwaze
Na kama kuna kosa baby
Anieleze
Napigwa na jua mchana kutafuta pesa aje kula
Usiku tena twagombana hivi kwa nini aninyanyapae
Baba baba
Kuandika talaka siwezi
Bora tu baba
Nibembeleze mapenzi

Sio poa
Anavyonifanyia
Ila kinyonge sana
Navumilia
Kama mtoto te-te-te
Mtoto anavyotembea
Ye te
Atabadilika yeye
Te-te-te
Mimi navumilia
Yote
Yana mwisho wake

Hili ni penzi la kijeshi
Kuruta nipige saluti
Kwake ata niwe msafi vipi
Makosa sikosi
Ila nikipetipeti
Sijui labda nina nuksi
Yani mwenzangu yeye hataki
Naambulia matusi
Ila sijali
Napandisha morali
Ndo kwanza naleta chips na kuku
Na yai
Ila sijali napandisha morali
Ndo kwanza naleta chips na kuku
Na yai ale
Mchuchu
Nina hela sipati kitu
Huku
Ndio kupatwa kwa penzi butu
Nilikula kofi nilipompapasa usiku
Nilipotaka kufosi nilichezea teke la huku
Kwa babu
Kwa babu

Sio poa
Anavyonifanyia
Ila kinyonge sana
Navumilia
Kama mtoto te-te-te
Mtoto anavyotembea
Ye te
Atabadilika yeye
Te-te-te
Mimi navumilia
Yote
Yana mwisho wake

Badilika dada badilika
Nakusubiri bado
Mumeo
Mumeo eeh
Anakusubiri bado
Niombee shemeji yangu nampenda dada yako na namsubiri bado
Mwenzie
Mwenzie eeeh
Nampenda bado
Zest anajua
Ninavyoumia
Huwa najua na vitu vyote nasubiria
Zungu Baunsa
Anashuhudia
Nikikaa peke yangu
Mi nalialia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI