MISTARI YA WIMBO HUU

Imma The Boy
Keeping the Good Music Alive

Naona raha nimepata furaha maishani
Na kila saa naona nuru iking’ara moyoni
Na kama wao walidhani hatutadumu pendoni
Tizama leo watuona vichwae na matuni

‘Cause this love was meant to be
Niamini I’ll be your baby
Nafanya utakalo ubaki nami
Daima nami
‘Cause this love was meant to be
Niamini I’ll be your baby
Nafanya utakalo ubaki nami
Daima nami

Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Bustani yangu ing’ae siku zote)
Something about you (Una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (Unilinde tusitengane maisha yote)

Tukigombana haina maana kuyaanika
Majirani wajue kazi bure
Nimekukosea umenikosea
Hakuna binadamu aliekamilika
Muhimu msamaha na kutambua
Ya kwamba moyo wangu umekuchagua

Because this love was meant to be
Amini I’ll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
‘Cause this love was meant to be
Amini I’ll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami

Something about you (una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (bustani yangu ing’ae siku zote)
Something about you (una rangi ya kipekee baby)
Tulia kwangu (unilinde tusitengane maisha yote)

Because this love was meant to be
Amini I’ll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami

‘Cause this love was meant to be
Niamini I’ll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
‘Cause this love was meant to be
Amini I’ll be your baby

I’ll be your baby
You’ll my baby
So never leave me baby
Pleeease
‘Cause this love was meant to be
Amini I’ll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami
‘Cause this love was meant to be
Amini I’ll be your baby
Ntafanya utakalo baki nami
Daima nami

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU