MISTARI YA WIMBO HUU

Haaaaa Haaaa
Ehehee hheeee yeah yeahh

Naback ,Black balaa, nnakock back silaha,
Snap back navaa,infact naconque sanaa,
Mi niko juu ya mtaa, na niko juu na ambaa,
Vichwa vya kuku hamniwezi mnyamwezi nawaacha pah,
Nasambaa, ka mbalamwezi naangaza nawasha taa,
Wangapi wanaonifaa,wangapi wanaokataa,
Namimina hivi vina, wanazizima navovaa,
Nakimbiza kwenye mlima na wima wima naambaa,
Na wima wima narusha hakuna mjinga anakaa,
Niite king wa mashairi, nna style zaidi ya mia mbili,
Nawapiga chenga za mwili, mtashangaa kwa yanayojiri,
Poooz,bado nasafiri nawachache nawin,
Nacheza na brain nafunguka madini,
No wait in vein bado niko makini,
Nazunguka nanyuzi mia tatu sitini,
(Ooh my God this flow is amazing)

Oooooh nah nah now!! nah nah now!! nah nah now!!
Time ya kumeki Doo Oohh!!
Oooooh nah nah now!! nah nah now!! nah nah NOW
Time ya kumeki Doo Oohh!!
Nipe nafasi, usinigasi nna mipango ya kumeki more,
Nipe nafasi , usinigasi nna mipango ya kumeki more

Niite black black a.k.a The Dan dada,
Phat phat, kama vampire nakanyaga,
Nasafiri nashamiri, nahubiri mashairi,
Navotambaa na beat hakuna anayeni-kabili,
Napotokea tu PAH!
Watu wana panic nawameza ma Mc’z kama meli ya Titanic,
Aaaagh! Vuta pumzi kama longombas kijana,
Kwa maana, siku hazigandi,nadhani tumeelewana,
Nawaficha mafeaturing, wanaficha tu mpaka lini,
Uswahilini, nenda kawaulize mi ndo king,
Mi ndo taabu, adhabu, aghalabu, adabu,
Ona natema sumu ndani ya chumba cha T touch,
Wananiita king chata, Black Rhino The Don,
Ona washaanza kudata ninavyoanza kuburn,
Nimeshalishwa limbwata, kunata na microphone,
Vizabizabina ndo maana, hawanitazami usoni!!!
Mi ni nuksi, hunigusi kama tafladon,
Si matusi, kaza uzi, hii ni dangerous zone,
Yessss!!!!! Mi jemedari nna manyota begani,
Hapa kheri ukae kwa mbali, ntakutesa nyumbani,

Oooooh nah nah now!! nah nah now!! nah nah now!!
Time ya kumeki Doo Oohh!!
Oooooh nah nah now!! nah nah now!! nah nah NOW
Time ya kumeki Doo Oohh!!
Nipe nafasi, usinigasi nna mipango ya kumeki more,
Nipe nafasi , usinigasi nna mipango ya kumeki more

Wwhat I know one day am gonna be on top,
Kichwani plan kibao ain’t no body can stop, BAD MAN!!!!
Sema nini mnataka mazeeee, mapema, tujimwage kwenye danceee,
Tryna be the same ila system noma, ila bado nakomaa, na natupia mangoma,
Bado nakomaa watanisoma, longtime kwenye game hii sauti inachomaaaa

CHIBWA MAN; Buuuuum Shakalaka, original master usinikompee,
Mi ndo king tapatapa, Buuuum!!!
nakula kwa peni na sauti mambo bieeerr, Tell em’ say
Eh Bwana niache nisake pay,Ahaa!!!
Najipa big up moyo wa kirasi,
Najipa big up cheza nao kwa akili,
Najipa big up kusaini zile deal deal, shida za laki mbili mbili tupa kule mambo biiier,
tupa kule mambo biiieer,tupa kule mambo biiieer
tupa kule mambo biiieeer, shida za laki mbili mbili tupa kule mambo biiieer

Oooooh nah nah now!! nah nah now!! nah nah now!!
Time ya kumeki Doo Oohh!!
Oooooh nah nah now!! nah nah now!! nah nah NOW
Time ya kumeki Doo Oohh!!
Nipe nafasi, usinigasi nna mipango ya kumeki more,
Nipe nafasi , usinigasi nna mipango ya kumeki more

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI