MISTARI YA WIMBO HUU

Tubonge
Chameleone anaomba tubonge
Mungu Baba
We long de
Gospel time now
Ooh Lord

Mi na wewe wa kweli katika wote ninaye ni wewe
Ana nipenda Chamili bila kipimo unanipenda hakuna kiasi
Ningependa nikuone nikupe vyote vyangu nikupe chochote
Unachotaka chochote upate lakini sina namna ya ku kupata

Ungekua na fasi una ishi
Hata ingekuwa mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter
Lakini hata sura yako uli ificha

Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
I don’t know what to do to do
I’m waiting for you
Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
Rafiki wa kweli rafiki mileli kweli

Rafiki ninemupa sasa tuuzo
Ana siri zangu nyingi si ogopi mateso
Hao wabishi hawanitishi na mawazo
Nkiwa kwangu sasa mi sitaki fujo
Nikiwa naye ye sio kupiga devil
Paddy man ongeza bass na treble
Nimtajje kama ninae ntampata naazo

Ungekua na fasi una ishi
Hata ingekuwa mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter
Lakini hata sura yako uli ificha

Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
I don’t know what to do to do
I’m waiting for you
Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
Rafiki wa kweli rafiki mileli kweli

Tubonge
Chameleone anaomba tubonge
Mungu Baba
We long de
Gospel time now
Ooh Lord

Njo nikupe kyoyote unataka
Hatuja kutana mina fufata
Njoo nikukaribishe kwangu
Njoo nikupikie chakula taamu
Naomba nikuwoneshe na wato wangu
Njoo nikuwoneshe baba mama wangu
Nikuwoneshe marafiki zangu
Nami na moyo wangu

Ungekua na fasi una ishi
Hata ingekuwa mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekua na nambari ya simu Facebook au Twitter
Lakini hata sura yako uli ificha

Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
I don’t know what to do to do
I’m waiting for you
Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
Rafiki wa kweli rafiki mileli kweli
Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
I don’t know what to do to do
I’m waiting for you
Njoo
Nimesubiri sana lini tutaonana
Njoo
Rafiki wa kweli rafiki mileli kweli

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU