MISTARI YA WIMBO HUU

I say you, yaani mimi sikuachi you
Nakutaka zamani lakini mimi sikuachi
Mi sikuachi, mi sikuachi
You, yaani mimi sikuachi you
Nakutaka zamani lakini mi sikuachi
Sikuachi, sikuachi, sikuachi

Hey, you’re so beautiful girl
Nasikia mtaani ni soo
Mshua anawapiga ni soo
Kawavunja sana Kino
So, I don’t know what to say
Unavyong’aa ka umeshuka toka USA
Unatembea ka unapaa that’s what they say
You can be my Bey, and I’m be you Jay
Trust me, I don’t need your vajay-jay
Ntafurahi tu kama ukiwa my baby
Twende Cuba, baby mambo vacay-cay
We gon’ party everyday, baby that’s every day
Yeah, there are so many things in life
You’re my pumzi, without you I ain’t got no life
For real baby I want you to be my wife
Ina maana hutaki dinner mambo ya candle light, huh?
Ongea na maa basi uje
Nakupenda sana usinizuge
Na si deal na akachube
Sina mwingine me I want you bae
Yeah ongea na maa basi uje
Nakupenda sana usinizuge
Na mi si deal na akachube
Unasema unapenda mziki twende kwa Ruge

I say you, and mimi sikuachi you
Nakutaka zamani lakini mi sikuachi
Mi sikuachi, mi sikuachi
You, yaani mimi sikuachi you
Nakusaka zamani lakini mimi sikuachi
Sikuachi, sikuachi, sikuachi

First time na-meet na we ma eyes ziliclick
Sikuamini nachokiona
Na moyo wangu uka-beat
Nikisema ni-define ma from head to toe
We mama uko fit
Nilipokutazama eh, nikatamani unipige kiss
Nikasema me can’t let you go
Lazima nikufate tutalk kidogo
Anhaa, zile chit-chat
Mi na we, face to face mama now be so strong
Girl, you’re beautiful
Vile uki-walk, wanatalk
Me never seen before
Na uko simple, unawakoroga sikuachi
Na-swear me can’t let you go
Aah! Kuwa nawe mama na-feel alive
Sikuachi we wangu all-of-mi-life
Mi sijali waki-hate, baridi barafu
Kuwa nawe mama na-feel alive
Sikuachi we wangu all-of-me-life
Mi sijali waki-hate, baridi barafu

I say you, and mimi sikuachi you
Nakutaka zamani lakini mi sikuachi
Mi sikuachi, mi sikuachi
You, yaani mimi sikuachi you
Nakutaka zamani lakini mi sikuachi
Sikuachi, sikuachi, sikuachi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI