MISTARI YA WIMBO HUU

Mungu aliumba dunia
Mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kung’ang’ania huenda sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe
Oh ila mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai ka hairuki zingetibu chozi langu

Kutwa nzima moyo unanidunda dunda
Sina amani nasaga rumba rumba
Ah unanidunda dunda
Sema chineteme moyo
Unanidunda dunda (mamii moyo)
Sina amani nasaga rumba (oh mimi)
Na unanidunda dunda
Hee eeh ukimuona
Ukimuona ukimuona
Ukimuona ukimuona
Ukimuona

Ah we nenda mwambie marafiki
Marafiki wabaya
Tena wengi waongo wala wasimdanganye
Oya ni mashoga rafiki
Oh marafiki wabaya oh mmh
Tatizo mi bado
Nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka akafunga virago
Na akaamua kuondoka sitambui
Mbaya kinachoniumiza maneno-neno maneno
Mara kwa ndugu rafiki kwanini anawapa misemo
Nimejaribu papasa kuona ka macho ataona chochote
Ila ndo kutwa mikasa na ninazidi kuanguka niokote

Kutwa nzima moyo unanidunda dunda
Sina amani nasaga rumba rumba
Ah unanidunda dunda
Sema chineteme moyo
Unanidunda dunda (mamii moyo)
Sina amani nasaga rumba (oh mimi)
Na unanidunda dunda
Hee eeh ukimuona
Ukimuona ukimuona
Ukimuona ukimuona
Ukimuona

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI