MISTARI YA WIMBO HUU

Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe
Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe

Uvumilivu sasa umenishinda
Leo natamka hadharani
Nimezama kwenye dimbwi la mapenzi
Kwa msichana mzuri mtoto wa raisi
Tatizo ni kwamba kuna kikwazo
Hali yangu dunia umasikini
Isije ikaja kuwa kigezo cha muheshimiwa kunitema mimi
One nataka kuonana na raisi
Nataka nimueleze kwamba mimi
Nimempenda sana binti yake ehee
Nimependa sana binti yake ehee hee

Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe
Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe

Mola nipe ujasiri mimi nimuone raisi
Mola nipe ujasiri mimi nimuone raisi
Bungeni ama wizarani
Ikulu ama deshi deshi
Nimueleze yangu ya moyoni
Nimwambie linalonisumbua
One nataka kuonana na raisi
Nataka nimueleze kwamba mimi
Oh nimempenda sana binti yake
Raisi asidhani mi muhuni sababu shughuli yangu ni muziki
Asali na mapenzi ya dhati
Mahitaji yake yote nitakidhi
Mola nipe ujasiri mimi nimuone raisi eh
Mola nipe ujasiri mimi nimuone raisi eh

Haiwezekani haiwezekani
Ulalamishi haiwezekani
Haiwezekani

Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe
Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe

Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe
Umaskini wangu ndo uloniponza
Ukanifanya mi nikose mke
Ndo maana mwenye nazo anathaminiwa
Nabaki mi nalia na baba mkwe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI