MISTARI YA WIMBO HUU

Gunia la gomba lingeuzwa jero
Issam touches
Geof Master
Zigi nayo ingeuzwa laki
Eeh una akili wewe

Hey, let’s pretend Ruge president

Hahaha, duh mgombea mwenza awe 20 Percent

Ehee na spika ungemweka Jide

Vipi kuhusu FA?

Awe jaji Lubuva, Rungwe ndo Profesa Jay

Basi pretend Zitto Kabwe angekuwa DJ

Huku Tale na Fella ni wasanii bosi Maromboso

Inspekta ndo John Boko, mi ndo Juma Nyoso

Michano ingekuwa Alikiba

RnB aimbe Kalapina

Shilole angekuwa ndo Huddah

Mwasiti angekuwa Meninah

Na Jux angekuwa ndo Sugu, kiongozi wa vinega

Midundo ya Tamaduni apewe Madee Sneida

Platinum baby, angekuwa ndo Chidi

Halafu Ngororo Ngororo, angeimba Fid

Linah angekuwa producer, Tuddy  ndo MC

Hapo basi Baba Levo awe promoter rapper Ray C

Aah natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(una akili wewe)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow

Igundulike Tiffah ni mtoto wa Linex na Zari

Sawa

Jacqueline Wolper afu ndo alikuwaga dalali

Halafu?

Jokate Kidoti ye aje kuwa askari, Petty
Money awe wakili hakimu Dimpo Omari

Waza Wema Sepetu nae kaolewa na Kimbunga

Kimbunga?

Salama J ndo mjane wa Kanumba
Mtoto wa Mwamnyange na Msaga Sumu
wachumba
Ben Pol ngoma ya Sophia angeimba kama Tunda

Okay, Mrisho mpoto angekuwa PHD
(hahaha)

Angeburuzaga totoz kinyama

Huku Kala Jeremiah yuko THT

Hayo yangekuwa mafunzo ya kumfunika Tid Mnyama

Umeshawaza Ney Wa Mitego anafagia barabara

Barabara

Mr Blue nae awe konda wa daladala

Halafu na mzee Majuto ndo dingi yake Riz One
Mourinho atupwage Yanga na Mkwasa afundishe Man

Aah natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(una akili wewe)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow

Umeshawaza Izzo B amuazime rasta Afande?

Nawaza Masogange amuazime tako Dayna Nyange (heheheh)

Roma hizo akili za bange

Je vipi Watengwa wakimpiga Tunda mande?

Dauda Shafii angekuwa Messi

Ronaldo ndo Edo Kumwembe

Wajuma Khaji angekuwa msanii

TB Joshua angekuwa Mwakyembe

Na bado nawaza Diva angekuwa mchepuko wa Mengi

(Aya ya ya mama yangu) tungeona mengi

Natamani Big G ingeuzwa laki
Gunia la gomba lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema wangetinga kijani na yellow
(una akili wewe)
Zigi nayo ingeuzwa laki
Gunia la bangi lingeuzwa jero
CCM sare zingekuwa khaki
Chadema nao kijani na yellow

Tongwe Records
We hizo ajenda zako hizo, Big G laki?
Rizla zingekuwa zinauzwa laki wangetumia hata magazeti
Yoh, Baghidibi dabi dibi dabi dibi dabi dei
Viva Roma Viva
Wassup Daddy Bizze, Daudi Lucas, Picasso
Acha wivu Issam Sachi wewe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI