MISTARI YA WIMBO HUU

Unajua – Gilad na Wendy Kimani

Sema mpenzi how you been
Unaendelea aje
Ama ni aje (yeah)
Sema mpenzi how you been
Umepotelea wapi
Umefanya nini na nani

Unajua ati baby it’s cold outside
Mpenzi won’t you come inside
You don’t have to hurt your love
Unajua ati baby I’m your guy
Mpenzi put your pride inside
You don’t have to hurt your love
Sema mpenzi how you been
Habari ya maisha
I miss you my teacher (yeah)
Sema mpenzi how you been
Umepotelea wapi
Umefanya nini
Na nani

Sema mpenzi I’ve been fine
Sijui nisemeje
Niko poa I miss you
Imagine hajui kunipa love
I don’t know why I ever left you
Mbona sikukupa time
Unajua ati that it’s cold outside
Mpenzi can I come inside
I don’t wanna hurt my love
Umeshindaje baby
Now that you’re with him and you’re not here
Nakuhitaji I need to let you know nimekumiss
Nitakupenda milele
Even though I’m not around you
There’ll always be room for you
Right here kwa roho yangu

Unajua (aje) ati baby it’s cold outside
Mpenzi won’t you come inside
You don’t have to hurt your love
Unajua (sema aje aje) ati baby I’m your guy
Baby put your pride inside
You don’t have to hurt your love
Unajua (aje) ati baby it’s cold outside
Mpenzi won’t you come inside
You don’t have to hurt your love
Unajua (sema aje aje) ati baby I’m your guy
Baby put your pride inside
You don’t have to hurt your love

Sema mpenzi how you been

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU