MISTARI YA WIMBO HUU

What I need from you is understanding
Nachotaka toka kwako maelewano
Ugomvi kila siku na maneno
Nimechoka ah nataka maelewano

What I need from you is understanding
Nachotaka toka kwako maelewano
Ugomvi kila siku na maneno
Nimechoka ah nataka maelewano

All I need from you is understanding
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki
Vitimbi vitimbi vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi

Mama mama
Nimeshakuoa
Acha mumeo nikatafute pesa
Shida gani inakusumbua
Kama chakula nimeshanunua wowo

Shida yangu si chakula
Wala shida sio pesa
Mapenzi yako wapi ulonipa mwanzoni
Mbona umebadilika
Tena hauambiliki
Nani anakuzingua
Haueleweki wewe

What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (maelewano)
Ugomvi kila siku na maneno (oh no)
Nimechoka ah nataka maelewano

All I need from you is understanding (understanding.. standing)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (mmh yeah)
Vitimbi vitimbi vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi

What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (no no no no)
Ugomvi kila siku na maneno (maneno)
Nimechoka ah nataka maelewano

All I need from you is understanding (understanding)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (kwanini eh)
Vitimbi vitimbi vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi

Acha acha
Acha kunisumbua
Nina haraka rafiki waningoja
Niendapo kamwe wewe hapakufai
Mke wangu tulia nyumbani
Acha wewe kisirani kurudi leo nitawahi

Kila siku we sababu kurudi hapa usiku
Ukirudi taabani maisha gani jamani
Mbona waume wengine waenda na wake zao
Rafikizo na wake zao
Wewe mwenzangu na nani mwingine

What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (maelewano)
Ugomvi kila siku na maneno (oh no)
Nimechoka ah nataka maelewano

All I need from you is understanding (understanding standing)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (mmh yeah)
Vitimbi vitimbi vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU