MISTARI YA WIMBO HUU
Konde Boy
Uno
Everybody say uno
Nasema uno
Everybody say uno
Uno likiteguka huwezi kutembea
Masai ruka ruka analinyenyekea
Chumbani kwenye shuka linanitetea
Mzungu kawehuka limemkolea
La kimakonde la kichaga
Eeh la kichaga
Wengine hadi wanywe pombe ndo wanalimwaga
Eeh wanalimwaga
Uno la wima wima
Linatokea Kongo
Si ndo lile Gwajima
Alimwagia kondoo
Uno ooh ooh ooh oh
Linawaokoa makahaba bababa
Kuna walong’oa meno sabababa
Lililomtoa H Baba baba
Yaani a e i o
Uno
Uno
Everybody say uno
Nasema uno
Everybody say uno
Uno
Za migando kama hautaki
Uno
Jipinde kama unakanda chapati
Nasema Uno
Basi lizungushe hadi kwenye bati
Uno
Manga kiza kote varangati
Basi kata taratibu tibu
Usijepata ajali
Uno la Chibu Chibu
Linamkondesha Zari
Uno la RayC
Halinanga mifupa
Ukienda DRC
Kuna Fally Ipupa
Aah popote wanalimwaga (uno)
Yaani kinaga ubaga (uno)
We jaribu kuchunguzaga (uno)
Uno ndo linalegeza chaga (uno)
Linawaokoa makahaba bababa
Kuna walong’oa meno sabababa
Lililomtoa H Baba baba
Yaani a e i o
Uno
Uno
Everybody say uno
Nasema uno
Everybody say uno
Uno
Za migando kama hautaki
Uno
Jipinde kama unakanda chapati
Nasema uno
Basi lizungushe hadi kwenye bati
Uno
Manga kiza kote varangati
Uno (yii)
Everybody say uno
Nasema uno
Everybody say uno
(Ooh my God it’s Spencer)
No comments yet