MISTARI YA WIMBO HUU

You’re my love love love lelele lele
Baby
Baby uuh
You’re my love love love lelele lele

We ndo beautiful
Nakupenda
Kwangu number one
Tena ringa
Penzi lako hoi
Umefunga
Mimi kwako goigoi
Umeniweza

Sipati tabu naona raha
Kwenye giza totoro washa taa
Letu penzi liwe furaha
Sipati tabu naona raha
Kwenye giza totoro washa taa
Letu penzi liwe furaha

Usiende mbali
Baki nami
You’re my love love love lelele lele
Usiende mbali
Baki nami
You’re my love love love lelele lele

Pozi zako ukiringa ringa
Mwenzako ndo napenda penda
Ushanichanganya sijiwezi mwenzio oh oh
Rangi yako ya chungwa chungwa
Nyusi umetinda tinda
Unanichanganya mwenzio

Sipati tabu naona raha
Kwenye giza totoro washa taa
Letu penzi liwe furaha
Sipati tabu naona raha
Kwenye giza totoro washa taa
Letu penzi liwe furaha

Usiende mbali
Baki nami
You’re my love love love lelele lele
Usiende mbali
Baki nami
You’re my love love love lelele lele

Never leave me alone
I will love you forever
Siwezi kuacha uwe mnyonge
I know you gonna marry me
I gonna marry you

Sipati tabu naona raha
Kwenye giza totoro washa taa
Letu penzi liwe furaha
Sipati tabu naona raha
Kwenye giza totoro washa taa
Letu penzi liwe furaha

Usiende mbali
Baki nami
You’re my love love love lelele lele
Usiende mbali
Baki nami
You’re my love love love lelele lele

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU