MISTARI YA WIMBO HUU

Deka unavyo Deka kama mtoto
Nitakubembeleza mimi wako oh
Nita zidi kupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usijeniacha mimi solemba
Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba

Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana
Si rahisi amini mimi na wewe tukatengana

Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Tangu niko na wewe ni furaha
Kukosa hata saa nikaraha
Bila wewe siwezi ishi
Kwako mimi sio mbishi
Wanapiga misele kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanataka mapinduzi
Na mapinduzi hawayawezi ooh ooh
Maumivu ya mapenzi naogopa sana
Hata wivu ni nao kwani sina roho ya chuma
Nakusihi usiniache solemba-aa
Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba

Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Usiendee
Mimi bado nakupenda

Usiendee
Mimi bado nakupenda

Usiondoke
Mimi bado nakupenda

Usiondoke
Mimi bado nakupenda

Nakupenda wanipenda usijekwenda mbali nami
Usiende
Mimi bado nakupenda
Nakupenda wanipenda usijekwenda mbali nami
Usiondoke
Mimi bado nakupenda
Nakupenda wanipenda usijekwenda mbali nami
Usiondoke
Nakupenda wanipenda usijekwenda mbali nami
Usiondoke eh eh eh eh (mimi bado nakupenda)
Nakupenda wanipenda usijekwenda mbali nami

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU