MISTARI YA WIMBO HUU

Let me talk to ya
Nataka kusema sana (no si sana)
Kuhusu watu wa aina fulani
Mzeiya A-Y sema

Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao

Yatazame vyema macho yangu right now
Nishapitia mambo mengi hata zaidi yao
Unapongata kwangu na kupulizia kwao
Unapochoka zaidi baada ya kuona mi nacheka nao
Oh
Leo nakupa ukweli baada ya kuona unanispy
Oh
Cheza nami mbali sitaki hata unisabahi
Sikujui
Niaje nipoteze muda nikuchunguze
Hunijui
Vipi utunge uzushi kwangu uyasambaze
Mind your business hujui style ya Maisha yangu
Basi sitaki ubishe hadi kwenye anga zangu
Kila siku unayafuatilia nayoyahangaikia
Lakini huwezi kuniharibia
Usione nimeshhh ukataka kupima
Nilikuona mwema kumbe zzz nishakusoma
Nikiwepo mtu poa nikiondoka unanichoma
Sasa unapochoma kama unaoga nje mchana ah
Niko imara zaidi ya chuma cha pua
Sitabiriki ujio wangu moyo wako unajua
Mlango wa ngome yangu mjomba noma ngumu kuingia
Ndo maana bado mi nakamua border nyingi napasua

Shida zangu kwani zinakuhusu nini (wewe)
Hata raha zangu zinakuhusu nini (wewe)
Pia Maisha yangu yanakuhusu nini (wewe)
Hoya hoya
Hoya hoya

Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao

Usione watu wamechill wametulia busy
Basi ukaona easy kuwachezea ukidhi
Kupandikiza chuki news kudandia please
Sitaki lawama kama vipi we potea
Fanya usepe tu kwangu kwangu hupati kitu fool
Niogope kama OGOPA full wa mbuzi kama FID Q
AY AY
Bado nafanya mema huu
Nikipata nikikosa namshukuru Mungu tu
Kikulacho mbona kinguoni mwako
Wanaokuua mbona wa karibu yako
We unashangaa nani anauza file lako
Kama Adili kama mi (Bora niwe peke yangu)
Deal zako ka zinabuma basi hasira usilete kwangu
Kama zali oh si lako jitume kibingwa wangu
Sio unakaa tu kazi tu kupiga majungu
Napo muda unapata bado unapiga virungu

Mchawi hana alama wapo (humuhumu)
Asiyependa uendelee ni (mchawi tu)
Hakosi uja kwako hodi kila saa (ngongo)
Ndani chuki nje kila saa anakupa tano (ngum ngum)

Shida zangu kwani zinakuhusu nini (wewe)
Hata raha zangu zinakuhusu nini (wewe)
Pia Maisha yangu yanakuhusu nini (wewe)
Hoya hoya
Hoya hoya

Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Mikono juu
Onyesha kama hufagilii mambo ya kishamba
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao
Ha juu
Nyosha mikono ishara tumewapiga bao

Aah ah
Usijaribu kuchunguza sura hii
Aah ah
Kama ina raha ama zzz
Aah ah
Usilete tabia za kizamani
Maisha yangu yanakuhusu nini

Au vipi bwana ni hayo
Huu ni muda na kila mtu kujiheshimu rafiki yangu
Haijalishi wewe ni nani na unatoka wapi
Niachie mimi nifanye kama mimi
Sababu siwezi kufanya kama wewe na wewe huwezi kufanya kama mimi
Sikiliza Ambwene hili ni bonge la dude
Bonge la beat kutoka kwa Ogopa
Matrack kama haya yanatakiwa kusikilizwa mtaani
Chuki kibao zipo kwa nini

Usichukulie poa
Usichukulie poa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU

AY - Usijaribu