MISTARI YA WIMBO HUU

Umekuja club au umekuja shinda smoking room?
Umekuja ku-chat au umekuja cheza huu muziki?

Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo
Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo

Usijiovadoze, usijiovadoze
Usijiovadoze, usijiovadoze

Natimba zangu club fuko limevimba
Sina hata stress Izzo na mavumba
Hakuna cha zaidi zaidi ya kutamba
Marashi nanukia nimepiga pamba
Namuona MJ kafatwa na wachumba
Pembeni dada Shaa mashavu yamemvimba
Vile namjua soon anawadunda
Wanataka picha kumbe kishupicha

Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo
Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo

Usijiovadoze, usijiovadoze
Usijiovadoze, usijiovadoze

Namcheki Quick Rocka bila sababu
Kajala yuko wapi hana la kujibu
Namuona peke yake Zari, wapi Chibu?
Si wengine fisi tutaharibu
Shilole na Nuh, kipi kimewasibu?
Shetta unatafutwa na mjomba Dudu
Tabasamu naliona kwa Professor na Sugu
Leo humu kazi kama uncle Magu

Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo
Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo

Usijiovadoze, usijiovadoze
Usijiovadoze, usijiovadoze

Cheki kule kona wadananda wamelala
Bata leo noma hili bata ni msala
Mpaka Manji ndani, Yedi wana wa Mbagala
Namuona ex wangu amekamatwa na fala
Kama Nature, kama Kibla, yaani hakuna kulala
Kesho kanisani ni kupiga masala
Kama Dark, kama Ngwair nipeni dili masela
Na ka hiyo bata kula bata, tuyasake mahela

Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo
Mitungi ni gambe tule tusaze
Ukilewa nenda kanitangaze
Njoo nikubebe usitambae
Mimi ndo tajiri wa leo

Usijiovadoze, usijiovadoze
Usijiovadoze, usijiovadoze

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI