MISTARI YA WIMBO HUU

Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa

Kwanini honey home uliondoka
Mi mpweke ukanitupa
Itwa mami mi nakuwaza
Uuh baby I love you
Umenitupa nateseka
Moyoni sina raha naweweseka
Nakuomba basi urudi nakupenda
Uuh baby uh baby

Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa

Mi nawaza kutafuta
Sababu ya yote baby nakupenda
Nakuomba mami elewa wanitesa
Uuh baby uh baby
Usinitupe nakupenda
Mapenzi bila wewe mi crazy maa
Nakuomba unielewe nateseka
Uuh baby I love you

Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa

Si kwamba siwezi bila we no
Naweza kukaa peke yangu ila tatizo roho
Roho inanambia niwe nawe mamii unipoze roho
Napotoka mahangaikoni usiondoke
Utanifanya nizidi kudata mengi yatakwenda slow
Haitokuwepo tena fasta usiondoke
Utakuwa kama umeng’oa kiraka kwenye jeans ya bishoo
Tena bishoo matata
Laiti ungejua ungetambua
Sababu ni wewe nanyeshewa na mvua
Sababu ni wewe nachomeka na jua
Natafuta dawa nikuponye ukiugua
Njoo tujenge uziwo wetu wa mapendo
Tule kiapo kama Madee na Pendo
Tung’ang’ane tunatane
Tushibane tupendane tusiachane

Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa

Wewe ehee I love you
Wewe ehee I love you

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI