MISTARI YA WIMBO HUU

Unaonekana mpole na kwenu umefunzwa
Kila siku nawaza uwe wangu wa kuniliwaza
Tukale kuku wa kupaka, baadae tukaluke majoka
Usiku tufurahie (furahie)
Mbona muda unaenda hutokei (you my baby girl)
Simu napiga haupokei (baby wapi ulipo)
Usipokuja utanikwaza, bora ungesema
Kama hupendi uswazi tungeenda sinza take away

Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday
Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday

Tukutane uswazi
Uswazi take away
We do meet everday
Tukutane uswazi
Tukutane uswazi
We do me meet everyday

Mbona muda unaenda hutokei
Simu napiga haupokei
Siku moja moja mpenzi
Sio vbaya kujichanganya uswazi
Mbona kama kawaida
Tuzunguke huku na kule
Uswazi mbona mwake
Kama nyama ni ile ile
Hakuna kinacho-change inside
Si utakuja na Linda lazima atapapenda
Tukutane mida ile ile tuliyokutana jana night

Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday
Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday

Mbona naona unazingua bidada, unazingua
Mbona naona unazingua bishosti, unazingua
Uswazi mbona fresh kila siku bata
Uswazi mbona ndio kwetu kila kitu unapata

Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday
Tukutane uswazi take away
Where we do meet everyday

Tukutane uswazi
Uswazi take away
We do meet everday
Tukutane uswazi
Tukutane uswazi
We do me meet everyday

Everday everday everday
We do meet everyday mi na we

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI