MISTARI YA WIMBO HUU

Yeah
Oh we ni mzuri wa sura

Yoh you are my dream team
We ni chocolate au vanilla katika ice cream
Usiende mbali naomba unipe hifadhi
Sikiliza hii habari kwangu penzi haliishagi
Nashangaa nakuwaza kila mida
Mwanamke mashaallah mwenye public figure
Sogea tucheze ‘Byshoo I love you baby’
Maneno naya-ignore amini I love you daily
Daily amini penzi sio fedha
Daima utabaki juu ka ndui juu ya bega
Kama unataka pesa n’search
Niko radhi kuwa mkia mpenzi wangu uwe in charge
Nakupenda ka chekechea na uji
Ndo maana usipotokea najitetea na movie
Nakujenga kama masega na nyuki
Nikikosea najitetea kama Barakah na Ruby

Mzuri wa sura
Pamoja na urembo na bado una true love
Ni mzuri wa sura
Pamoja na urembo na bado una true love (true love)
I love you

Afronsina kwangu wewe ni baraka
Napiga salute kwa hii sauti ya gharama
Milele daima nifunge sitaki dhamana
Nikikuwaza sana ndo hivi mimi hufanyaga
Ni we milele mama Yeyoo
You and I ni earth and sky
Meenie money mo
Ukipika maboga mimi nina freeze up
Ukipika uyoga ndo singi mgaya sida

Dizaini siamini kwa macho
Ila moyo umenihakikishia
Kwamba wewe ndio yule yule
Niliekuwa nikimsubiria
Tangu zamani yei yeah
Na sasa ndo wewe uko ndani

Uzuri wa sura
Pamoja na urembo na bado una true love (true love true love)
Ni mzuri wa sura
(You’re so beautiful) na bado una true love

Yoh aah
Yoh!
Afronsina you are my African queen
Ndo maana nataja jina you’re the girl of my dream
Mwanamke wa kichaga wa kihaya wa kipare wa kisukuma
You’re my African team
Omwana gwetu pendeza na nguo ndefu
Umejaaliwa shape unamjua mtume ni Yesu
Mgorole kaniki au vitenge
Muislam mlokele kweli umwana mchetenge
Ukipita wanasema umependeza
Mungu fundi! Kweli alikutengeneza
Uwe Rwanda Kigali au Kampala
Au ukiwa Nairobeli mama nafanya sala
You’re so beautiful beautiful onyinye
Ukiwa Naija baby you’re so skillful
Sio siri nakoma yako mapigo
Kama nikikosa mali halali nauza figo

Uzuri wa sura (oh ooh oo)
Una true love (baby baby we ni mzuri)
Ni mzuri wa sura
Pamoja na urembo bado una true love
Bado una true love

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU