MISTARI YA WIMBO HUU

Nazidi kuwapa

Nazidi kuwapa vidonge
Mi nawapa vidonge eh
Nazidi kuwapa vidonge
Mi nawapa vidonge eh
Nazidi kuwapa vidonge
Wameze wateme ni shauri yao

Niliwaambia hawatanifikia
Wacheni fitina huu mchezo hujanishinda
Speedy mia mia I’m pressing on
Na bado wanabambika I’m thanking god
Wana-hate wana-hate
Kila step na-move ahead
Wata-hate wata-hate
Mi nawapa vidonge

Huwezisimamisha mvua no huwezi
Maneno hayazipi njia hayawezi
Mola ashanipa uzuri nadhani
You like what you see
Wana-hate wana-hate
Kila step na-move ahead
Wata-hate wata-hate
Mi nawapa vidonge

Nazidi kuwapa vidonge
Mi nawapa vidonge eh
Nazidi kuwapa vidonge
Mi nawapa vidonge eh
Nazidi kuwapa vidonge
Wameze wateme ni shauri yao

Eeeh eeeh

Mi nawapa vidonge
Nairobi nawapa vidonge nawapa vidonge
Mombasa nawapa vidonge nawapa vidonge
Kisumu nawapa vidonge nawapa vidonge
Eldoret nawapa vidonge nawapa vidonge
Nairobi nawapa vidonge nawapa vidonge
Mombasa nawapa vidonge nawapa vidonge
Kisumu nawapa vidonge nawapa vidonge
Eldoret nawapa vidonge nawapa vidonge
Eh eh eh eh eh eh

Nairobi nawapa vidonge
Mombasa nawapa vidonge
Kisumu nawapa vidonge
Eldoret nawapa vidonge

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI