MISTARI YA WIMBO HUU

Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda
Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda

Kwa kifupi nimefika
Na nguvu zote kufunika
Viwanjani kuwarusha
Ngoma zangu zinabamba
Huna budi kutingisha
Nachotaka kukuona unatingisha
Mfukoni kama umekamilika
Mziki mnene wa Majani umebamba
Kina dada wote
Kina kaka wote leo
Viwanjani
Kina dada wote
Kina kaka wote leo
Viwanjani
Wakati ni huu wakati umefika baby
Viwanjani
Wakati ni huu wakati umefika baby
Viwanjani

Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda
Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda

TID, Khalfani, Saigon shkopa
Inasikika kwenye kipaza sa ladha shkopa
Yaani njoo oh oh
Kiwanjani shkopa so ni soo
Sema nae unaemuona shkopa
DJ ana-scratch shkopa
Yeh, ye huwa masela shkopa
Njoo oh oh kiwanjani shkopa
Usione soo, mshtue mwenzio atoke shkopa
Hii floor inakumbusha siku ya Fiesta Njoo
Kumbuka kama unajisikia cheza
Bad man Saigon TID shata
Khalfani shata
I and I tapatapa
Tapa-tapa-ta-ta-ta-ta-tapa
Njoo oh, njoo oh
Saigon featuring TID
Njoo oh

Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda
Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda

Floor ni tamu sana unapocheza
Umependeze
Tingisha kiuno kama unapenda Ragga
Hii ngoma imebamba
(Sing it) unavyocheza
(Sing it) unapendeza
Midundo ya Ragga (sing it, sing it)
Hii ngoma imebamba

Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda
Sema uh uuh
Tingisha kama we unaweza
Sema ah aah
Na kama kweli unanipenda

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI