MISTARI YA WIMBO HUU

Ruby
Man Water the hit maker on the beat ah
Mh ah
Combination Sound

Shetwani anasura mbili
Nzuri na mbaya aah
Atakupa unachotaka
Akutumie anavyotaka aah woh

Na ukigundua aah ameiba kete
Atakuzingua aah na akumalize
Kumbe ndani chui nje Mamba
Eti Mungu Mtu

Wale wale
Wale walee
Wale wale
Wale walee
Wale wale
Wale walee
Wale wale
Wale walee

Nimwamini nani binadamu sare
Sare
Nimeshtuka yamenicheza machale
Chale
Eti kubali uliwe hapa mjini shule
Shule
Aku na ruka na mbawa kama kware

Na ukigundua aah ameiba kete
Atakuzingua aah na akumalize
Kumbe ndani chui nje Mamba
Eti Mungu Mtu

Wale wale
Wale walee
Wale wale
Wale walee
Wale wale
Wale walee
Wale wale
Wale walee

Uoga wangu umaskini wangu
Mola wangu lipi fungu langu
Uoga wangu umaskini wangu
Mola wangu lipi fungu langu

Wale wale
Wale waleee
Wale wale
Wale waleee
Wale wale
Wale waleeeee
Wale wale
Wale waleee
Wale wale
Wale waleee
Wale wale
Wale waleeeee

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI