MISTARI YA WIMBO HUU

Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao

Wale kule wanaona haya
Wale wanaona
Mnavyoniona mi nafanikiwa
Eh wanaona haya

Walitaka Tunda nipotee ili kesho wanicheke
Wanakesha wakiomba nisiimbe ili ndoto zangu zipotee
Nimuogopa Mungu alio juu alofanya hapa nifike
Simuogopi mpika majungu anaetaka shibe inifike
Wewe ni mtoto wa kiume mbona una tabia za kike
Wewe fanya ujitume chakarika usishikwe shikwe
Wewe heshima hainunuliwi usiyemjua usimchezee
Niheshimu nikuheshimu kama hutaki nipotezee

Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao

We umetoka bushi umekuja mjini
Tumekupokea
We umekuja na nguo unafunga na pini
Na mishuka kama mzee
Siri zako tumeshazijua we
We sasa waona haya
Upunguze na kujishaua we
We uache na roho mbaya
Siku zote mmbea husema ukweli
Ttizo hajaruhusiwa
Maajabu Mwajumbe katema ngeli
‘My name is NC Ya’
Mdananda oh yah (wadananda oh yah ee)
Wadananda oya oyah ee (wadananda oya oya oya weee)

Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao

Ole ole
Ole wako eh
Ole ole
We ole wako eh
Ole
Ole wako eh
Ole
Usicheze na sisi
Ole
Ole wako eh
Ole
Usicheze na sisi

Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao
Wameinama wameinuka
Wanaona haya hao

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI