MISTARI YA WIMBO HUU

Sawa wanatetemeka
Sawa sawa wanatetemeka
Aah Queen Darleen baby
(Shishi Baby)
Mazuu (Record)

Asubuhi na mapema we up
Siku hii ilio njema ni raha
Kuna walionisema staa
Leo nimerudi tena I’m back
Mashabiki zangu wamejawa furaha
Wenye chuki nami wananishangaa
Hivyo walidhani nishapotea
Mi kurudi tena nasogea
Na Mungu yuko nami kila dakika nami
Na mi ntafika mbali ntakapo wika far
Majungu ndo sijali nimesomeka askari
Nyie mukicheka mi natengeneza chapaa
Haina kwere yaani baridah
‘Cause maisha nayoishi ya kawaida
Na hata mkinidiss sitonuna
Daily Queen napo-make hit nawakuna

Nami na wangu shabiki tupo kama marafiki
Yule wa raha na dhiki sababu ndo anaenifaa
Maisha utafute ridhiki less mikiki mikiki
Mikono hewani huu muziki huku unacheza ukijidai

Sirudi bush nakomaa hapa hapa
Maisha ni ubishi mi nabisha nazisaka
Sirudi bush nakomaa hapa hapa
Maisha ni ubishi mi nabisha nazisaka
Pole pole ado ado (sawa)
Tutafika (wanatetemeka)
Pole pole ado ado (sawa sawa)
Tutafika (wanatetemeka)
Pole pole ado ado (sawa)
Tutafika (wanatetemeka)
Pole pole ado ado (sawa sawa)
Tutafika (wanatetemeka)

Tia mixer kiDarleen Darleen
Mixer ki-parley parley
Beat iko sexy kiss kwa Queen Darleen
Snitch hawanipati mixer hawanifikii
Yoh ni-diverse kwa sweet kama sukari aah
Shine bright kama like Diamond (Platnum)
Sina muda wa kupiga domo
Dhahabu wale emcee kama Tyson
But Queen Darleen ni zaidi ya lesson
Ngoja kwanza niweke pose
Mashabiki njoo tucheze kidali poo
Nikudalike ukalale nacho
Mizuka imepanda kimenuka zaidi ya choo
You already what You already know
Mziki ndo kipaji kazi kwenu mnao-force
Cheza kwa swagga jiachie kwa pose
Kwa pamoja here we go

Nami na wangu shabiki tupo kama marafiki
Yule wa raha na dhiki sababu ndo anaenifaa
Maisha utafute ridhiki less mikiki mikiki
Mikono hewani huu muziki huku unacheza ukijidai

Sirudi bush nakomaa hapa hapa
Maisha ni ubishi mi nabisha nazisaka
Sirudi bush nakomaa hapa hapa
Maisha ni ubishi mi nabisha nazisaka
Pole pole ado ado (sawa)
Tutafika (wanatetemeka)
Pole pole ado ado (sawa sawa)
Tutafika (wanatetemeka)
Pole pole ado ado (sawa)
Tutafika (wanatetemeka)
Pole pole ado ado (sawa sawa)
Tutafika (wanatetemeka)

Sawa wanatetemeka
Sawa sawa wanatetemeka
Sawa wanatetemeka
Sawa sawa wanatetemeka
(Chezea)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI