MISTARI YA WIMBO HUU

Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini

Kama ni pendo langu nilikupa lote
Nilikujali kwa kila kitu na kukupa mahaba yote
Sikudhani ungenidharau na kuniletea wengine
Sikudhani ungenigeuka na kuanza kuninyanyasa wee
Pesa na magari yako yalikufanya uwe kiburi
Ulinacha ukaenda zako na kusahau utu wako
Penzi langu hukuthamini
Ukanacha na majonzi
Nimebadilika nini
Wanifuata mimi wa nini

Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini

Maji yakishamwagika hayazoleki
Na kama nyumba unatafuta imeshapata mpangaji
Nala vyangu na mpenzi wangu ya nini kunisumbua eh
Dharau zako na mikogo yako sitaki kuvisikia eh
Nimekupa nafasi yako ukachezea muda wako
Sasa starehe zangu wazionea wivu wa nini
Kubembeleza hakuishi
Watuma meseji za mapenzi
Nimebadilika nini
Wanifuata mimi wa nini

Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini

Wani wani-wani wani-wani wani-wanifuata wa nini
Wani wani-wani wani-wani wani-wanifuata wa nini

Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini

Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini
Umenikataa bila sababu
Umeninyanyasa bila aibu
Nimepata mwingine tabibu
Sasa wanifuata fuata nini

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI