MISTARI YA WIMBO HUU

Siwezi kuishi bila upendo wako ulivyoniteka
Naomba nihifadhi kwa mikono yako nisije anguka
Nimezunguka kutwa nzima kama wewe sijamuona
Napigwa vita chungu nzima lakini bado napigana

Wapo walotaka nikuache nakusema sitofika popote
Ndipo wakanifanya niongeze juhudi nyingi mpaka siku niwe wako
Sijali umenitesa mara ngapi ama nimelia mara ngapi
Nia yangu ni moja siku moja tuwe wote pamoja
Sijali umenitesa mara ngapi ama nimelia mara ngapi
Nia yangu ni moja siku moja tuwe wote pamoja

Sijasahau usiku wa manane ule ulivyonikana
Mbele ya nduguzo na bwana ‘ako yule ukanitukana
Kwa mapenzi nilisimama kama chizi nilionekana
Leo wakusema hakuna najua waamini nakupenda

Wapo walotaka nikuache nakusema sitofika popote
Ndipo wakanifanya niongeze juhudi nyingi mpaka siku niwe wako
Sijali umenitesa mara ngapi ama nimelia mara ngapi
Nia yangu ni moja siku moja tuwe wote pamoja
Sijali umenitesa mara ngapi ama nimelia mara ngapi
Nia yangu ni moja siku moja tuwe wote pamoja

Oh oh yeaah
Eh ee
Oh oh yeaah

Penzi letu liende mbele lisifike mwisho oh
Tuwe wote milele tushinde vikwazo oh
Wapo oh oh oh oh oh oh oh oo
Wapo
Wapo oh oh oh oh oh oh oh oo
Wapo

Sijali umenitesa mara ngapi
Ama nimelia mara ngapi
Nia yangu ni moja
Siku moja
Tuwe wote pamoja
Sijali umenitesa mara ngapi
Ama nimelia mara ngapi
Nia yangu ni moja
Siku moja
Tuwe wote pamoja
Sijali iih, sijali iih
Sitojali umenitesa mara ngapi
Sijali iih, sijali iih
Sitojaaaali

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI