MISTARI YA WIMBO HUU

Mr Lova Lova, mr Lova Lova
Mr Lova Lova, Lova Lova Lova lovaman
Mr Lova Lova, mr Lova Lova
Mr Lova Lova, Lova Lova Lova lovaman

Sio kujipendekeza
Na pendekeza maneno
Utasikia maneno jamaa demu wake mkali tatizo kaoza meno
Sioni tatizo mwenzenu nimeoza moyo
Wanauliza ni mama Yeyoo ama ni mama Yeyo, yoh
No more drama, miaka elfu 7 mtuache mimi na la mama
Achana na stori za maskani mapenzi hayana mwalimu
Wanakutia ndimu hawakusaidii majukumu
Said, side B sio muhimu
Pokea simu, usimsikilize Kassim
Hii si elimu kama zimetimia timamu
Wafunge midomo kama swaumu nanii

Warawara na mpira chenga moja, mbili
Warawara na mpira chenga tatu, nne
Najua unapenda mabao, sio bao la kucheza
Sio bao la waganga, maisha ni ushindi
Najua unapenda mabao nanii
Tafuta bao lako nanii nanii

Warawara na mpira chenga moja, mbili
Warawara na mpira chenga tatu, nne
Najua mpira mabao, mabao
Mi mwenyewe napiga mabao oh
Mr Loverman (Wara), mr Loverman (Warawara)
Mr Loverman (Wara), mr Loverman (Warawara)

Hata kuomba si unaomba taratibu
Hata kuuliza basi uliza taratibu
Ndo utaratibu, namna ya kumaliza
Ugomvi ndani ya nyumba Dulla, chumba cha pili jana
Kaniuliza mbona sijawahi kusikia tumba tumba, vipi
Unatuliza kesi zako na mchumba, ee eh, baba
Uvumilivu ni rhumba nalisakata vizuri
Ila kikubwa ukirudi amenuna
Siku hiyo jitume vizuri utashangaa kiburi chini, hasira chini
Hii sio siri yangu mimi chini chini
Waambie na majirani, ama nini
Akipika naosha vyombo mwanangu, naosha vyombo eeh
Safisha kabisa mpaka nanuka shombo, dah!
Mwanangu umerogwa na huyu mtoto wa Kirombo, dah
Mwanangu we hatari!
Sio hatari ni kiboko
Na baadae namchapa tena
Ndo maana harudii tena pengine pengine
Mtulize! Muweke gambani
Akitoa chozi muweke begani
Akinyamaza mapajani, kisha muulize kuna shida gani, honey
Lionel Messi wa mahaba, usiwe na wasiwasi maabuba

Warawara na mpira chenga moja, mbili
Warawara na mpira chenga tatu, nne
Najua mpira mabao, mabao
Mi mwenyewe napiga mabao oh
Mr Loverman (mr Loverman), mr Loverman (mr Loverman)
Mr Loverman (mr Loverman), mr Loverman (mr Loverman)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI