MISTARI YA WIMBO HUU

Watakoma – Amber Lulu na Country Boy

Sweseka Production

Bablon

Nimepata fon call
Twende kwenye gambe
Yupo wa kusimamia show
Niende na wapambe
Leo watakoma
Kichwa kipo hai eh
Sijui unanisoma
Sinaga shy eh
Uliza uko wapi
Tukutane wasafi
Chukua taksi
Kwani sh ngapi

Huku kumewaka sio kitoto (aah sio kitoto)
Tunafunga mwaka kwa mitoko (aah kwa mitoko)

You my love lover
I swear you dey make me crazy
Haa baby baby

Wako wapi wale
Waliotaka shindana na mimi
Ona wako vile vile
Mi napanda wao wako chini
Sa tujiachie
Si unajua tena (mambo bam bam)
Leo tufurahie
Tena tufanye mapema (na masham sham)

Leo watakoma
Kichwa kipo hai eh
Sijui unanisoma
Sinaga shy eh

Makelele kama king’ora
Anasema mimi ni bora
Tukifika tunamchora
Kwa shilingi ama dola

Huku kumewaka sio kitoto (aah sio kitoto)
Tunafunga mwaka kwa mitoko (aah kwa mitoko)

You my love lover
I swear you dey make me crazy
Haa baby baby

Hiki kimya tupa kule mama lets get dance
Usiku wa leo hautokwenda bure usiponipa chance
Sio kusex (no)
No Ni kudance na kuboogie
Kiuno chako unachokata ni hatari una makusudi
Babe
Mifukoni usijali nina mavumba
Niko bwii kichwa kinaanza kuyumba
Hivyo viuno chuo gani umejifunza
Abiria chunga mzigo wako wangu nshauchunga
Zero distance sikuachi kabisa
Wanavyokunyemelea hawa matozi wanantisha
Na tena sipati picha
Zile kwi kwichi hili pati likiisha

Leo watakoma
Kichwa kipo hai eh
Sijui unanisoma
Sinaga shy eh

Huku kumewaka sio kitoto (aah sio kitoto)
Tunafunga mwaka kwa mitoko (aah kwa mitoko)

You my love lover
I swear you dey make me crazy
Haa baby baby

Leo watakoma (Amber Lulu babe)
Sijui unanisoma sinaga shy eeh

Kiuno chako unachokata ni hatari una makusudi
Na tena sipati picha
Zile kwichi kwichi hili pati likiisha babe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU