MISTARI YA WIMBO HUU

Hi baby (hey)
Nina story ilonikwaza (talk to me)
Tena leo hii (mmhh)
Kuna mtu kanieleza

Huishi story kimekukwaza nini basi nieleze
Kwa upole sema nami moyo wako usiumize

Siku ile (aaha)
Ukasema unakwenda na rafiki
Kwenye kitchen party (that’s right)
Hata mie
Nilitoka nikapiga simu yako ikawa sikupati

Simu yangu (mmh)
Sikumbuki kama nilikwenda nayo
Mume wangu tuna mambo mengi achana na hayo

So umeniona mjinga
No sijasema mjinga
So umeniona mjinga
No sijasema mjinga
Kumbe (wala)
Nini (aa ah)
Au nimekosa kukuuliza (no no no no noo)
Baby this is serious
Wala mi sifanyi utani (tell me)

Wangu waubani
Sina mwingine kwangu ni wewe
Nakupatia (moyo wangu)
Nafurahia (penzi lako)
Wangu waubani
Sina mwingine kwangu ni wewe
Nakupatia (moyo wangu)
Nafurahia (penzi lako)

Natamani nipate uwezo
Nikufungulie moyo wangu uone baby
Ni jinsi gani nakuhitaji nakupenda nakuthamini

Uuuh nami sijiwezi kwa hilo penzi lako
Uuuh kwa uzuri wako nahisi naweza ibiwa

Wengi wanasema Uuuuh baby
Furaha yao watutie machunguuu

Kidogo cha leo kikubwa cha kesho
Amini kati yetu kuna kitu special
Usiniache hata kama nimekukwaza
Nieleze baby

My love nitakupa milele
Una nafasi kwangu tena ya pekee eeh

Wangu waubani
Sina mwingine kwangu ni wewe
Nakupatia (moyo wangu)
Nafurahia (penzi lako)
Wangu waubani
Sina mwingine kwangu ni wewe
Nakupatia (moyo wangu)
Nafurahia (penzi lako)

Wangu waubani
Sina mwingine kwangu ni wewe
Nakupatia (moyo wangu)
Nafurahia (penzi lako)
Wangu waubani
Sina mwingine kwangu ni wewe
Nakupatia (moyo wangu)
Nafurahia (penzi lako)

Uuuh uuh uuu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU