MISTARI YA WIMBO HUU

Hakuna asiyetamani kuwa na mwenza kama wewe
Hakuna asiyefurahi kuishi nyumba moja na wewe
We kunipenda nafurahi kwa wenzangu najidai
Ukiwa mbali natamani nikufuate

Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele
Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele

Nimechagua kuwa na wewe
sijali kama huna money
Napenda unavyonipenda
Usiniache peke yangu
Nipe mapenzi yote usinibanie
Twende kwetu nyumbaninikakutambulishe
Niahidi kuwa ma baby pamoja tuzisake iyee iyee
Kwa shida na rahadaimauwe mine
Kwa vita na njaa tusiachane hata iweje

Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele
Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele

Chochote
Popote
Karibu nawe nikianguka niokote
Sikuachi nipe vyote
Vyote vyote kisibaki chochote
Najua kama unanipenda sana
Sana sana leo zaidi ya jana
Sana sana ile ya kukamatana
Sana sana yaani hatuwezi achana
Usiwe na hofu kwako mi kipofu
Usiwe na presha ukae ukikesha
Labda univizie tym ninayojirejesha
Jiamini niwewewe tu unayeninogesha

Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele
Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele
Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele
Wewe
Wanipa sababu ya kuishi
Sijali kama huna mali
Lazizi nifanye niwe wa milele

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI