MISTARI YA WIMBO HUU

Melodi tamu
Nimepata na siishi hamu
Kuiimba
Wimbo adimu
Kuupata na ninafamu
Nimeshinda
Naunaenda
Taratibu
Unatibu
Na moyo wangu
Watulia
Unajua
Nimepata nimepata
Nimepata nimepata

Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni
Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni
Sitachoka kukuimba we tena
Na tena
Sitachoka kukuimba we
Sitachoka kukuimba we

Wanituliza
Kama gita
Wachangamsha
Wimbo wangu
Tenzi nzuri ajabu
Maneno ya dhahabu
Fumbo na jawabu
Unanipa usingizi
Kati ya kelele hizi
Ninajua
Nimepata nimepata
Nimepata nimepata

Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni
Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni
Sitachoka kukuimba we tena
Na tena
Sitachoka kukuimba we
Sitachoka kukuimba we

Uuuu wimbo wangu
Uuuu wimbo
Uuuu wimbo wangu
Uuuu wimbo

Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni
Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni
Sitachoka kukuimba we tena
Na tena
Sitachoka kukuimba we
Sitachoka kukuimba we

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI