MISTARI YA WIMBO HUU

Ya Kulevya – Weusi

Ai
Pam piri pam pah
Ayah yah
Way yah yah
Its a B Hits Material
Madara
Madara
Madaraka
Madara
Madara
Madaraka
Buggahleez

Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza

Mjini nimedondoka kama chopa (chopa star)
Wananiita zee la makopa
Zee la kulia mtoto hawezi toka
Watoto wanang’oka
Zangu mimi ni kung’arisha moka
Napenda malight camera action
Napenda malikes nyomi attention
Nyumbani situlii na mummy
Zangu ni vijiwe na kina nanii
Napendaga makiki kama msanii
Nanii
Tukipiga picha nipost
Napenda mafollowers
Napendaga makiki kama msaniii

Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza

Kila nikiona kibinda mi nadinda
Kila nikiona kibinda mi nawinda
Kidinda kikidinda nakitia ndinda
Wananiita mzee wa vibunda
Na mbele zikivimba nazitoa mimba
Mke wangu kila siku namtoa mapovu
Nimeshaonywa sana na baba askofu
Sijui shetani gani ameniingia
Nimeshaombewa sana na kila parokia
Na bado kila demu mkali mi narukia
Nazama next door na majala
Nakata kwa watoto na katoto nyumbani ha kajala
Mastaa Bongo muvi wananiitaga danga
Napiga mablunder
Vitumbua vinanijua bingwa la kutia mchanga
Napiga mablunder
Naishi kama kwangu na nyumba ni ya kupanga
Vitu vinaenda nganganga

Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza

Dereva nagonga miti
Acha
Hiyo si sawa dereva una mkeo,
Mzee nina midananda kibao
Sijui kutongoza msaada ni wao
Mdananda ukizingua mambao
Zee la mipango
Zee la majigambo
Natembelea ndoa ndoano nawavua
Kijani naitia nyekundu natibua
Na urithi baba alishaniahidi nazitumbua
Ndugu wanalia nauchubua
Mke wangu yuko home nguo zangu anazifua
Mi niko guest flani zangu navua

Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh baby)
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya (oh darling)
Naimba napoteza

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU