MISTARI YA WIMBO HUU

Kukupenda imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda mi mwana wa mwenzio
Unachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we
Unachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we

Kukupenda nakupenda kweli ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri maishani nafurahi
Kukupenda nakupenda kweli ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri maishani nafurahi ah
Ila ya moto ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto ya kitoto mie siwezi
Aa-ah ila ya moto ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto ya kitoto mie siwezi

Hutaki mi niende kazini unataka tulale
Na nikipata mapesa twende kwenye starehe
Hutaki mi niende kazini unataka tulale
Na nikipata mapesa twende kwenye starehe

Ila ni ya moto (ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi
Ila ni ya moto (ila ni ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi

Mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)
Nasema mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)

Ale nipe mapenzi ya kweli sweetie
Ale nipe mapenzi ya kweli we sweetie eh
Nigombane na serikali mama woo
Una kisima cha kijiji nikiwekee uzio oh
Wajua wanitesa mimi mwana wa mwenzio yoh

Chacho sondombwa sondombwa
Chacho sondombwa sondombwa
Chacho sondombwa sondombwa
Chacho sondombwa sondombwa

Alisema mama upendo ukizidi ni noma doh
Japo nakupenda sana ni heri yaishe salama eh
Alisema mama upendo ukizidi ni noma doh
Japo nakupenda sana ni heri yaishe salama eh

Ila ni ya moto (ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi
Ila ni ya moto (ila ni ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi

Mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)
Nasema mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI