MISTARI YA WIMBO HUU

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya

Huyu kijana mwenzetu
Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu ana
Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta tumeuliza hakuna ajuae
Anavyozuga anavyopita si umdhaniae
Na hafananii kabisa na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata kumbe hana helaa
Longo longo nyingi

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya

Kwa story za vilingeni
Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati
Utasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Usomdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata kumbe hana helaa
Ooh Yahaya

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Usomdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata kumbe hana helaa

Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Oh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani
Yahaya eeh
Oh Yahaya
Oh Yahaya

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU