MISTARI YA WIMBO HUU

Keeping The Good Music Alive
That’s my job
You’re my sunshine my moonlight
And everything I dream about
Linah let’s go

Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa I love you

Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa I love you

Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa
Wakisema me siwagusi natingisha kichwa
Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla
Si ulishasomw nakupenda acha masihara
Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila
Mi mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela
Una matatizo yako najua
Na me yangu boo
We together from this moment
We see them through
Nikukosea nisute nipige vibao nizodoe
Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie
Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo
Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo
Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio
Mpaka tamu kwa kiss ya pili
Ukinikumbuka iwe kilio
Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe
Usinikatae utaniumiza me na
biashara na wewe

Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa I love you

Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa I love you

Nshasema sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe
Usinikatae utaniumiza mi na biashara na wewe
Ushaangaliwa niunge tela usingoje mpaka uambiwe
Ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka ilejewe
Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta
Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita
Mi sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali
Na moyo wangu nitapenda bila kujali
Hata marefa wana timu zao mama
Hupanga matokeo pambano lianze
Washajua goli ngapi ngapi leo
Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche
Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote
Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia
Hauwezi kufuata fuata kila utakachouambia
Nahitaji yako mapenzi
Napata picha yako kwanza
Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza

Toa shaka na wasiwasi moyoni
Toa shaka na wasiwasi moyoni
Kukuepuka ilo haliwezekani
Ntakushika leo na kesho peponi

Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa I love you

Yalaiti napenda pasi kifani
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa I love you

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU