MISTARI YA WIMBO HUU

Aha aha
Umeshaisikia hii
Kutoka kwa A.Y

Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo nitafanyaje
Patamu hapo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo nitafanyaje
Patamu hapo

Anavyotabasamu ndipo anaponipa hamu
Sura umbo lake basi lanipa wazimu
Nataka kumfuata nahisi atakataa
Naogopa akinimwaga (story zitazagaa)
Napenda miondoko yake tabia yake
Umaskini wangu utanifanya nisimpate
Yule anayesumbua akili yangu
Yule anayeumiza moyo wangu
Najua hafahamu najua hafahamu
Mwenzenu mi ntakufa na mawazo
Lakini kumwambia ndo siwezi

Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo nitafanyaje
Patamu hapo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo nitafanyaje
Patamu hapo

Tatizo hajui bila penzi lake maze sijitambui
Mi nitafanyeje hata nikimuona mdomo unajaa mate
No no no
No no no
Napomuonaa pindi tukikutana
Iwe club kapozi na rafiki zake
Ua tabu napofikiria ni vipi nimfuate
Muda utafika napo ukweli ntamueleza
Nakosa raha pale washkaji wakinicheka
Sijitambui nae hajui kama kwake nimefika

Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo nitafanyaje
Patamu hapo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo simple
Yule
Nampenda sana jinsi alivyo nitafanyaje
Patamu hapo

Anavutia
Cha ajabu hajidai
Nataka awe wangu tu
Lakini kumwambia ndo siwezi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU